Waliokataliwa

Jalada la kitabu cha "Waliokataliwa" na Owen Jones
Waliokataliwa

Hadithi Ya Kuchekesha Ya Kisasa Ya Familia Ya Popo

imeandikwa na

Owen Jones

Kutafsiriwa na

Kennedy C. Langat

E-BOOK – ISBN: 9788835427216

Heng Lee aanza kuhisi ajabu sana ghafla, kwa hivyo akakuja kumwona mganga wa mtaani, ambaye ni shangazi yake. Akafanya uchunguzi kadhaa na akaamua kuwa Heng hana damu, lakini ataambiaje familia yake, na watafanya nini kuihusu?

Heng Lee ni mchungaji wa mbuzi katika milima ya kijijini kaskazini mashariki mwa eneo la Chiang Rai lililoko kaskazini mwa Thailand, karibu sana na mpaka na Laos. Ni jamii inayotangamana sana ambapo kila mtu anajua mwengine. Heng anaugua ghafla, lakini sio mgonjwa sana kiasi cha kumzuia kuchunga mbuzi, na siku moja alilazimika aende kumwuona mganga wa hapa, kwa sababu ameanza kuzimia.

Mganga Shangazi Da

Hakuna madaktari wa matibabu karibu na Mganga amekuwa mzuri kwa watu wengi kwa karne nyingi. Mganga alichukua vielelezo kadhaa na kufikia hitimisho kwamba figo za Heng zimeacha kufanya kazi na kwa hivyo ana wakati mdogo wa kuishi. Harakati za kuokoa maisha ya Heng zikaanza, lakini kuna nguvu nyingine zinafanya kazi pia. Je! nini itafanyika kwa Heng, familia yake na jamii yote, ikiwa atachukua ushauri wa Mganga?

Waliokataliwa inapatikana kutoka kwa maduka yote mazuri ya vitabu pamoja na Tektime

Duka langu la Vitabu – My Bookshop

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Shopping Basket
Scroll to Top