Path Home ... Foreign Translations ... Books in Swahili-Vitabu vya Kiswahili

Books in Swahili-Vitabu vya Kiswahili

Jalada la kitabu cha "Waliokataliwa" na Owen Jones
Vitabu vya Kiswahili

Vitabu vya Kiswahili

imeandikwa na

Owen Jones

trans

Kama unavyoweza kuona katika duka langu la vitabu, nimeandika zaidi ya riwaya hamsini lakini zote ziko kwa lugha ya Kiingereza. Hata hivyo, ninafanya kila juhudi vitabu hivyo vitafsiriwe kwa lugha mbalimbali, na ukurasa huu utakuwa na orodha ya vitabu vyangu vyote vya Kiswahili.
Kwa wakatu huu, vitabu hivyo havitakuwa nyingi lakini utaona kwamba idadi ya tafsiri itaongezeka kwa muda, kwa hiyo ninapendekeza kwamba uangalie hapa kila mara ili kuona nini kimebadilika. Ikiwa una mapendeleo fulani kuhusu ni kitabu gani ungependa kuona kikitafsiriwa kwanza, tafadhali nijulishe na nitajaribu kukupa nafasi.

Viungo vya Vitabu vya Kiswahili.

Hata hivyo, orodha iliyo hapa chini inajumuisha zile ambazo tayari zinapatikana kwenye tovuti tofauti au zile zinazotafsiriwa: kichwa cha kitabu kinapokuwa kiungo, bonyeza juu yake na utaelekezwa kwenye kurasa zenye maelezo zaidi kuhusu vitabu vya Kiswahili.
Kwa hivyo, hapa kuna orodha ya vitabu vya Kiswahili:

Waliokataliwa

Hadithi Ya Kuchekesha Ya Kisasa Ya Familia Ya Popo

Duka langu la Vitabu – My Bookshop

Shopping Basket
Scroll to Top